Home » » FILAMU HII YA NGONO YA WATANZANIA MIAKA YA NYUMA NDIO LAANA YA HIZI PICHA ZA UCHI MIAKA HII?!

FILAMU HII YA NGONO YA WATANZANIA MIAKA YA NYUMA NDIO LAANA YA HIZI PICHA ZA UCHI MIAKA HII?!

Written By Anonymous on Tuesday, November 26, 2013 | 2:48 PM


 Hali inazidi kuwa mbaya katika nchi ya Tanzania baada ya kugubikwa na majanga mengi na kuchafua jina la nchi yetu asa ili madawa ya kulevya.hivi karibuni kumeibuka wimbi la vijana kujiingiza kwenye vitendo vya ngono.

Katika kudadavua na kupekenyua tumeweza kukutana na CD za ngono tena zilizofanywa na vijana wetu wa kitanzania bila kujali maadili ya nchi yetu vijana wamethubutu kuingia location na kufanya mkanda wa ngono na kuingiza mtaani na kuuza bila kuogopa maadili ya nchi yetu 


Jina la kampuni hiyo kama unavyoanza mkanda unasomeka VIDEO ENTERTAIMENT inawaletea bongosex from tz bila uoga wanachafua jina la nchi yetu 

Hii Aibu sasa bongo tumefikia kufanya filamu za ngono bila kujali magonjwa







0 comments :

Post a Comment